Mr.B.Kulwa-Mkurugenzi wa elimu maalum(katikati)akiwa na walimu wa
kitengo cha viziwi Mwaya alipo watembelea tarehe 13.02.2013,Pamoja na
ziara hiyo aliambatana na wageni wa CBM-AUSTRALIA ambao ni marafiki wa
maendeleo ya elimu kwa viziwi,Pamoja na kuangalia maendeleo ya ujenzi wa
darasa la viziwi mkurugenzi alipata nafasi ya kuongea na walimu wa
kitengo cha viziwi na wasioona na kutoa utaratibu wa ufundishaji wa
wanafunzi wasioona kwamba wanatakiwa wasome wakiwa kwenye darasa maalum
bila kuwachanganya na wakawaida kuanzia darasa la kwanza mpaka la tatu.
Pia
aliona upungufu mkubwa wa walimu wataalamu na kuagiza uongozi wa
halmashauri ufanye utaratibu wa kuwahamishia walimu waliopitia mafunzo ya
elimu maalum waliopo kwenye shule za kawaida wahamie Mwaya badala ya
kuhamisha walimu wataalam waliopo kitengoni kwenda kwenye shule za
kawaida,Aliongeza kuwa atafanya utaratibu wa kuwapanga walimu wengi
zaidi Mwaya hivyo isitokee uongozi wa halmashauri kuwachelewesha kwa
makusudi kuwaleta Mwaya,Mwisho alisema Elimu maalum ni swala Mtambuka
hivyo hatawavumilia wasimamizi wa elimu wanaopuuza elimu maalum
kwasababu za maslahi binafsi badala ya kuwasaidia wanafunzi wenye
ulemavu.
Mwaya Deaf Unit-Kilolo(MDU-K)
Wednesday, March 6, 2013
CBM WATEMBELEA KITENGO CHA VIZIWI MWAYA
Hapa ni wageni mbalimbali kutoka kanisa la Anglikana,CBM-AUSTRALIA,Mkurugenzi wa elimu maalum(wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi)ofisi ya elimu mkoa na wilaya,walimu na wajumbe wa kamati ta shule ambao walikuwa wakifanya tathmini ya maendeleo ya ujenzi huo tarehe 13.02.2013.
Hapa wageni wa CBM wakiangalia darasa linalotumiwa na viziwi ambalo limegawanywa kwa ceiling board ili kupata madarasa matatu ndani ya chumba kimoja,kutoka kushoto,Mr.J.Katindasa(mwalimu mtaalam)Kirstin Lee Bostelmann(CBM-regional office of Kenya)Mr.T.Ngajilo(Mkuu wa kitengo cha viziwi),Simon Duffy(CBM-Australia).
Monday, February 4, 2013
ORODHA YA WANAFUNZI VIZIWI-2013.
S/N
|
NAME
|
SEX
|
YEAR OF
BIRTH
|
CLASS
|
FROM
|
1
|
ZABRONI KIWONDE
|
M
|
2004
|
1
|
NDULI-KILOLO
|
2
|
LUNI G.KOMBOLE
|
F
|
2004
|
I
|
MAKUNGU-KILOLO
|
3
|
JACKSONI JAMES
|
M
|
2005
|
I
|
MASUKANZI-KILOLO
|
4
|
HARON ALFRED
|
M
|
2005
|
I
|
MBEZI-DSM
|
5
|
KELVIN MUSHI
|
M
|
2004
|
I
|
P0MERIN-KILOLO
|
6
|
ANNAN MHONGOLE
|
M
|
2004
|
I
|
POMERIN-KILOLO
|
7
|
ROSEMARY KAYWANGA
|
F
|
2002
|
I
|
IBOFWE-KILOLO
|
8
|
YUDA NYAMWAGI
|
M
|
2004
|
I
|
TANANGOZI-IRINGA (R )
|
9
|
SARA TAVE
|
F
|
2003
|
I
|
TANDALA-MAKETE
|
10
|
AMASA WILSON
|
F
|
2002
|
I
|
LUWANDA-MBOZI
|
11
|
MARTHA NDUVANGA
|
F
|
2002
|
I
|
IGURUSI-MBEYA
|
12
|
NEEMA MATANDU
|
F
|
2003
|
I
|
MPWAPWA-DODOMA
|
13
|
CLEMENTINA KALIMA
|
F
|
2003
|
1I
|
SADANI-IRINGA (R )
|
14
|
ROMANA MKUNDI
|
F
|
2003
|
II
|
MAKOTA-IRINGA(R)
|
15
|
GIFT NYAMAHANGA
|
F
|
2003
|
II
|
MAKOTA-IRINGA(R)
|
16
|
NESIA KAGINE
|
F
|
2005
|
II
|
K.MGAGAO-KILOLO
|
17
|
GRACE MYULA
|
F
|
2002
|
II
|
K.MGAGAO-KILOLO
|
18
|
LILY MWAGAMA
|
F
|
2000
|
II
|
AMANI-LUDEWA
|
19
|
DEUSI NYAMOGA
|
M
|
2001
|
II
|
K.KIDEWA-KILOLO
|
20
|
GEORGE MALOGO
|
M
|
1999
|
IIIB
|
MAZAE-MPWAPWA
|
21
|
ALLEN LUGOME
|
M
|
2005
|
IB
|
LUDEWA(K)
|
22
|
MSIFUNI MDESA
|
F
|
2001
|
II
|
ITUNDA-KILOLO
|
23
|
NEIVA KIGAHE
|
F
|
2000
|
IIIA
|
NYAWEGETE-KILOLO
|
24
|
VENERANDA UGGI
|
F
|
2000
|
IIIA
|
MASEGE-KILOLO
|
25
|
BAHATI KINYELE
|
M
|
2000
|
IIIA
|
NYAWEGETE-KILOLO
|
26
|
IMANI HONGOLI
|
M
|
1999
|
IIIA
|
LWANG’A-IRINGA(R)
|
27
|
AGATHA KIDUMULA
|
F
|
1999
|
IIIB
|
MASUKANZI-KILOLO
|
28
|
ABUJAKHARI KAYWANGA
|
M
|
2003
|
II
|
MATALAWE-KILOLO
|
29
|
ALLY MOHAMED
|
M
|
2002
|
IIIA
|
MWAYA-KILOLO
|
30
|
DANIELY MARWA
|
M
|
2003
|
IIIA
|
MADIZINI-KILOLO
|
31
|
YASHMA NGUVILA
|
M
|
1997
|
IIIA
|
ISELE-KILOLO
|
32
|
JOELY MGOHAMWENDE
|
M
|
1997
|
IIIB
|
ISELE-KILOLO
|
33
|
KARIM MUSA
|
M
|
1997
|
IIIB
|
ILULA-KILOLO
|
34
|
SADICK GILLA
|
M
|
1997
|
IIIB
|
MALENDI-KILOLO
|
35
|
LAFNED GILLA
|
M
|
1999
|
IIIB
|
MALENDI-KILOLO
|
Subscribe to:
Posts (Atom)